![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png&w=640&q=50)
Kiwilawila
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwilawila kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Wawilawila katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwilawila ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwilawila kiko katika kundi la Kiwunambal. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kingarinyin.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png)