Kiwik-Me'anha
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwik-Me'anha ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 1981, idadi ya wasemaji wa Kiwik-Me'anha ilihesabiwa kuwa watu 12 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwik-Me'anha kiko katika kundi la Kipama cha Kati.