Kiwik-Keyangan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwik-Keyangan kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwik-Keyangan, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwik-Keyangan kiko katika kundi la Kipama cha Kati.