Kiwergaia
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwergaia ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawergaia katika jimbo la Victoria. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kiwergaia watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwergaia kiko katika kundi la Kulin.