Kiwarrwa
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwarrwa (au Kiwarrawai) ilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wawarrwa katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji wa Kiwarrwa ambao wamebaki kuzungumza lugha, yaani lugha imetowekakabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwarrwa kiko katika kundi la Kinyulnyulan. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kinyigina.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwarrwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.