Kiwarluwara
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwarluwara kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawarluwara katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwarluwara, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarluwara kiko katika kundi la Kiwarluwariki.