Kiwarlpiri
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwarlpiri ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawarlpiri katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiwarlpiri ilihesabiwa kuwa watu 2510. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarlpiri kiko katika kundi la Kingarga.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/9a/Warlpiri_map.png/320px-Warlpiri_map.png)