Kiwariyangga
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwariyangga kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawariyangga katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwariyangga ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwariyangga kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.