Kiwanman
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwanman ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawanman katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiwanman wanne tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwanman kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.