Kiwamin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwamin kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawamin katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwamin, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwamin kiko katika kundi la Kipama cha Kusini.