Kiwakawaka
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwakawaka ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawakawaka katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiwakawaka wawili tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwakawaka kiko katika kundi la Kiwaka-Kabiki.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/6a/Map_of_Traditional_Lands_of_Australian_Aboriginal_peoples_in_SE_Qld.png/220px-Map_of_Traditional_Lands_of_Australian_Aboriginal_peoples_in_SE_Qld.png)