Kiwakabunga
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwakabunga kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawakabunga katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwakabunga, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwakabunga kiko katika kundi la Kigalgadungiki.