lugha ya asili ya Australia From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwadjiginy (au Kiwagaydy) ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wawadjiginy katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kiwadjiginy watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwadjiginy kiko katika kundi la Kiwagaydy ambalo huitwa kulingana na jina la lugha hiyo yenyewe.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwadjiginy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.