Kiwagaya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwagaya kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawagaya katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwagaya, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwagaya kiko katika kundi la Kiwarluwariki.