Kiwadjiginy
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwadjiginy (au Kiwagaydy) ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wawadjiginy katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kiwadjiginy watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwadjiginy kiko katika kundi la Kiwagaydy ambalo huitwa kulingana na jina la lugha hiyo yenyewe.