Kiwadi-Wadi
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwadi-Wadi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawadi-Wadi katika majimbo ya New South Wales na Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwadi-Wadi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwadi-Wadi kiko katika kundi la Kulin.