![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0a/Democratic_Republic_of_the_Congo_%252826_provinces%2529_-_Nord-Kivu.svg/langsw-640px-Democratic_Republic_of_the_Congo_%252826_provinces%2529_-_Nord-Kivu.svg.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Kivu Kaskazini
jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Kivu ya Kaskazini ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 3,564,434. Mji mkuu ni Goma.
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Mkoa wa Kivu Kaskazini Nord-Kivu |
|
![]() Nord-Kivu |
|
Majiranukta: 01°41′S 29°14′E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 5 |
Mji mkuu | Goma |
Serikali | |
- Gouverneur | Julien Paluku Kahongya |
Eneo | |
- Jumla | 59,483 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 3,564,434 |
Tovuti: http://www.provincenordkivu.org/ |
Funga