Kiurningangg
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiurningangg kilikuwa lugha ya Kigiimbiyu nchini Australia iliyozungumzwa na Waurningangg katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiurningangg ilitoweka. Hakuna uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, kwa vile kuna lugha tatu za Kigiimbiyu tu, na zote zilitoweka.