![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png&w=640&q=50)
Kiunggumi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiunggumi kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Waunggumi katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiunggumi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiunggumi kiko katika kundi la Kiworrorran cha Magharibi.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png)