![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png&w=640&q=50)
Kiunggaranggu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiunggaranggu kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Waunggaranggu katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiunggaranggu ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiunggaranggu kiko katika kundi la Kiworrorran cha Magharibi.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png)