Kiumbindhamu
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiumbindhamu kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waumbindhamu katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiumbindhamu, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiumbindhamu kiko katika kundi la Kipaman.