Kiturkana ni lugha ya Kinilo-Sahara inayozungumzwa na Waturkana nchini Kenya. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiturkana ilihesabiwa kuwa watu 989,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kiturkana kiko katika kundi la lugha za Kiniloti.
- lugha ya Kiturkana kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiturkana
- lugha ya Kiturkana katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/tuv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiturkana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.