Kitjurruru
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kitjurruru kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Watjurruru katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kitjurruru ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitjurruru kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.