Kithiin
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kithiin kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wathiin katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kithiin ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kithiin kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.