Kithaypan
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kithaypan (au Kigugu-Thaypan) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wathaypan katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kithaypan, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kithaypan kiko katika kundi la Kipaman.