Kitamajeq-Tayart
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kitamajeq-Tayart ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Niger inayozungumzwa na Watuareg. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitamajeq imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitamajeq iko katika kundi la Kiberber.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitamajeq-Tayart kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.