Kishixing
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kishixing ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Washixing. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kishixing imehesabiwa kuwa watu 1800. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kishixing iko katika kundi la Kinaiki.