Kiserer-Sine
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiserer-Sine ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal na Gambia inayozungumzwa na Waserer. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiserer-Sine imehesabiwa kuwa watu 1,130,000. Pia kuna wasemaji 31,900 nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiserer-Sine iko katika kundi la Kiatlantiki.