Kipirlatapa
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kipirlatapa kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wapirlatapa katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kipirlatapa ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipirlatapa kiko katika kundi la Kikarniki.