Kipinigura
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kipinigura kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wapinigura katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kipinigura ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipinigura kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.