KipazasautiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kipazasauti (pia spika) ni kifaa kinachotoa sauti kwenye redio, runinga au ala za muziki wa elektroniki. Kifaa hiki kina uwezo wa kupaza sauti asilia na hapo ndipo asili ya jina lake. Kipaza sauti: Mwendo wa sumaku (nyekundu) unasababisha mitetemo ya utando ndani yake (A) inayoendelea kama mitetemo ya hewa nje yake (B) inayofika kwenye sikio kama sauti Kipaza sauti ya kawaida yenye utando wa karatasi ngumu
Kipazasauti (pia spika) ni kifaa kinachotoa sauti kwenye redio, runinga au ala za muziki wa elektroniki. Kifaa hiki kina uwezo wa kupaza sauti asilia na hapo ndipo asili ya jina lake. Kipaza sauti: Mwendo wa sumaku (nyekundu) unasababisha mitetemo ya utando ndani yake (A) inayoendelea kama mitetemo ya hewa nje yake (B) inayofika kwenye sikio kama sauti Kipaza sauti ya kawaida yenye utando wa karatasi ngumu