Kiolkol
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiolkol ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waolkol katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiolkol watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiolkol kiko katika kundi la Kipaman.