Kinyamal
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kinyamal ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanyamal katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kinyamal 35 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyamal kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.