Kinungali
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kinungali kilikuwa lugha ya Kimirndi nchini Australia iliyozungumzwa na Wanungali katika jimbo la Northern Territory. Hakuna Wanungali waliobaki kuzungumza lugha ya Kinungali, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinungali kiko katika kundi la Kiyirram.