Kinukunul
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kinukunul kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanukunul katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kinukunul, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinukunul kiko katika kundi la Kidurubaliki.