Kinhanda
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kinhanda ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanhanda katika jimbo la Australia Magharibi. Miaka ya 2000, kulikuwa na wasemaji wa Kinhanda wachache tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinhanda kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.