Kingarluma
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kingarluma ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wangarluma katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kingarluma 26 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingarluma kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.