Kingantangarra
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kingantangarra kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wangantangarra katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kingantangarra ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingantangarra kiko katika kundi la Kikarniki.