Kinganakarti
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kinganakarti kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanganakarti katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kinganakarti ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinganakarti kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.