Kingalakan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kingalakan ilikuwa lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia iliyozungumzwa na Wangalakan katika jimbo la Northern Territory. Hakuna Wangalakan waliobaki kuzungumza lugha ya Kingalakan, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingalakan kiko katika kundi la Kirembargiki.