Kingadjuri
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kingadjuri kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wangadjuri katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kingadjuri ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingadjuri kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.