Kindra'ngith
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kindra'ngith kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wandra'ngith katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kindra'ngith, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kindra'ngith kiko katika kundi la Kipama cha Kaskazini.