Kinauo
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kinauo kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanauo katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kinauo ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinauo kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.