Kinarungga
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kinarungga (au Kinarangga) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanarungga katika jimbo la Australia Kusini. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kinarungga 24 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinarungga kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.