Kimuluridyi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimuluridyi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamuluridyi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimuluridyi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimuluridyi kiko katika kundi la Kiyalandyiki.