Kimpalitjanh
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimpalitjanh kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wampalitjanh katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimpalitjanh, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimpalitjanh kiko katika kundi la Kipama cha Kaskazini.