![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png&w=640&q=50)
Kimiwa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimiwa kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Wamiwa katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimiwa ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimiwa kiko katika kundi la Kiwunambal.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png)