Kiminjungbal
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiminjungbal kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waminjungbal katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiminjungbal, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiminjungbal kiko katika kundi la Kibandjalangiki.