Kimbara (Australia)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimbara kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wambara katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimbara, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbara kiko katika kundi lake lenyewe la Kimbara.