Kimbangala
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimbangala ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wambangala. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimbangala imehesabiwa kuwa watu 22,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbangala iko katika kundi la H30.